0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1086. Riyadhu Swalihina Mlango wa fadhila za safu ya kwanza, Maamrisho ya kutimiza safu za kwanza kuziweka sawa na kukurubiana katika safu


١٩٤- باب فضلِ الصفِّ الأوَّلِ والأمرِ بإتمامِ الصفوفِ الأُولِ، وتسويِتها، والتراصِّ فِيهَا


وعن أَبي مسعودٍ، رضي اللَّه عنْهُ، قَالَ: كانَ رسولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يَمْسحُ مَناكِبَنَا في الصَّلاةِ، ويقُولُ: “اسْتوُوا ولاَ تَختلِفوا فتَخْتَلِفَ قُلُوبُكُمْ، لِيلِيني مِنْكُم أُولُوا الأَحْلامِ والنُّهَى، ثمَّ الذينَ يلُونَهمْ، ثُمَّ الذِين يَلُونَهمْ ”        رَوَاهُ مُسلِم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



194. MLANGO WA FADHILA ZA SAFU YA KWANZA, MAAMRISHO YA KUTIMIZA SAFU ZA KWANZA, KUZIWEKA SAWA NA KUKARIBIANA KATIKA SAFU


Imepokewa kutika kwa Abû Mas‘ûd  ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesema: “Mtume ﷺ alikuwa akiyashika mabega yetu katika Swala na akituambia: “Linganisheni (safu) wala msikhalifiane kwani itakuwa ndio sababu ya nyoyo zenu kukhalifiana. Wanikaribie wenye akili (waliobaleghe) miongoni mwenu, kisha wanaowafwatia wao, kisha wanaowafwatia wao.”       [ Imepokewa na Muslim ].


Begin typing your search above and press return to search.