0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1084. Riyadhu Swalihina Mlango wa fadhila za safu ya kwanza, Maamrisho ya kutimiza safu za kwanza kuziweka sawa na kukurubiana katika safu


١٩٤- باب فضلِ الصفِّ الأوَّلِ والأمرِ بإتمامِ الصفوفِ الأُولِ، وتسويِتها، والتراصِّ فِيهَا


 وعن أَبي هُريْرة، رَضِيَ اللَّه عَنْهُ قَالَ: قَالَ رسُولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “خَيْرُ صُفوفِ الرِّجالِ أَوَّلُهَا، وشرُّها آخِرُهَا وخيْرُ صُفوفِ النِّسَاءِ آخِرُها، وَشرُّهَا أَوَّلُهَا      رواه مُسلِم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



194. MLANGO WA FADHILA ZA SAFU YA KWANZA, MAAMRISHO YA KUTIMIZA SAFU ZA KWANZA, KUZIWEKA SAWA NA KUKARIBIANA KATIKA SAFU


Imepokewa kutika kwa Abû Huraira ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Bora ya safu za wanaume ni safu za mwanzo, na shari yake ni za mwisho. Na bora ya safu za wanawake ni za mwisho, na shari yake ni za mwanzo.”       [ Imepokewa na Muslim ].


Begin typing your search above and press return to search.