0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1081. Riyadhu Swalihina Mlango wa maamrisho ya kuzihifadhi Swala za faradhi, na makatazo ya mkazo na maonyo makali ya kuziacha


 باب الأمر بالمحافظة عَلَى الصلوات المكتوبات والنهي الأكيد والوعيد الشديد في تركهنَّ


وعن أَبي هُريْرةَ رضي اللَّه عنهُ قالَ: قالَ رسولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “إِنَّ أَوَّل مَا يُحاسبُ بِهِ العبْدُ يَوْم القِيامةِ منْ عَملِهِ صلاتُهُ، فَإِنْ صَلُحت، فَقَدْ أَفَلحَ وَأَنجح، وَإنْ فَسدتْ، فَقَدْ خَابَ وخَسِر، فَإِنِ انْتقَص مِنْ فِريضتِهِ شَيْئاً، قَالَ الرَّبُّ، عَزَّ وجلَّ: انظُروا هَلْ لِعَبْدِي منْ تَطَوُّع، فَيُكَمَّلُ مِنْهَا مَا انْتَقَص مِنَ الفَرِيضَةِ؟ ثُمَّ يكونُ سَائِرُ أَعمالِهِ عَلى هَذَا”            رواه التِّرمِذِيُّ وَقَالَ حديث حسن


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



193. MLANGO WA MAAMRISHO YA KUZIHIFADHI SWALA ZA FARADHI, NA MAKATAZO YA MKAZO NA MAONYO MAKALI YA KUZIACHA


Imepokewa kutika kwa Abû Huraira ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Kitu cha kwanza atakachohisabiwa nacho mja Siku ya Qiyama katika amali zake, ni Swala yake; ikitengea atakuwa amefuzu na amefanikiwa, na ikiharibika, atakuwa amepita patupu na amehasirika. Kikipungua kitu katika faradhi yake, Allâh ‘Azza wa Jalla Atasema: “Tazameni kama mja Wangu ana ziada (Swala ya Sunnah) ili akamilishiwe kilichopungua katika faradhi yake.” Halafu, matendo yake yote yatakuwa ni kwa namna hii.”     [ Imepokewa Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan Sahîh. ].


Begin typing your search above and press return to search.