باب الأمر بالمحافظة عَلَى الصلوات المكتوبات والنهي الأكيد والوعيد الشديد في تركهنَّ
وعن شقِيق بنِ عبدِ اللَّهِ التابعيِّ المُتَّفَقِ عَلَى جَلالتهِ رَحِمهُ اللَّه قَالَ: كانَ أَصْحابُ مُحَمَّدٍ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم لا يرونَ شَيْئاً مِنَ الأَعْمالِ تَرْكُهُ كُفْرٌ غَيْرَ الصَّلاةِ. رَوَاهُ التِّرمِذِيُّ في كِتابِ الإِيمان بإِسنادٍ صحيحٍ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
193. MLANGO WA MAAMRISHO YA KUZIHIFADHI SWALA ZA FARADHI, NA MAKATAZO YA MKAZO NA MAONYO MAKALI YA KUZIACHA
Imepokewa kutika kwa Shaqîq bin ‘Abdullâh ambaye ni taabiina, Ulamaa wameafikiana juu ya utukufu wake ( Mungu amrahamu ), amesema: “Maswahaba wa Mtume ﷺ walikuwa hawaoni jambo lolote kuliacha ni ukafiri ispokuwa Swala.” [ Imepokewa Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan Sahîh. ].