0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1078. Riyadhu Swalihina Mlango wa maamrisho ya kuzihifadhi Swala za faradhi, na makatazo ya mkazo na maonyo makali ya kuziacha


 باب الأمر بالمحافظة عَلَى الصلوات المكتوبات والنهي الأكيد والوعيد الشديد في تركهنَّ


وعن جابرٍ رضي اللَّه عنهُ قَالَ: سمعتُ رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يقولُ: “إِنَّ بَيْنَ الرَّجُلِ وَبَيْنَ الشِّرْكِ والكُفْرِ تَرْكَ الصَّلاةِ ”     رواه مُسلِم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



193. MLANGO WA MAAMRISHO YA KUZIHIFADHI SWALA ZA FARADHI, NA MAKATAZO YA MKAZO NA MAONYO MAKALI YA KUZIACHA


Imepokewa kutika kwa Jâbir ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesema: “Nilimsikia Mtume akisema: “Hakika baina ya mtu na baina ya shirki na ukafiri ni kuacha Swala.”     [ Imepokewa na Muslim ].


Begin typing your search above and press return to search.