0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1076. Riyadhu Swalihina Mlango wa maamrisho ya kuzihifadhi Swala za faradhi, na makatazo ya mkazo na maonyo makali ya kuziacha


 باب الأمر بالمحافظة عَلَى الصلوات المكتوبات والنهي الأكيد والوعيد الشديد في تركهنَّ


وعن ابنِ عمرَ رضيَ اللَّه وعنهُما قَالَ: قالَ رسولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: ” أُمِرْتُ أَنْ أُقاتِلَ الناسَ حتَّى يَشْهدُوا أَنْ لا إِله إِلاَّ اللَّه وَأَنَّ مُحَمَّدًا رسولُ اللَّهِ، وَيُقِيمُوا الصَّلاَة، ويُؤْتُوا الزَّكاةَ، فَإِذا فَعَلُوا ذلكَ عَصمُوا مِنِّي دِماءَهُمْ وَأَمْوَالَهمْ إِلاَّ بحقِّ الإِسلامِ، وَحِسَابُهْم على اللَّهِ”       متفقٌ عَلَيهِ.


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



193. MLANGO WA MAAMRISHO YA KUZIHIFADHI SWALA ZA FARADHI, NA MAKATAZO YA MKAZO NA MAONYO MAKALI YA KUZIACHA


Imepokewa kutika kwa ‘Abdullâh bin ‘Umar ( Radhi za Allah ziwe juu yao ) amesema: “Mtume amesema: “Nimeamrishwa nipigane na watu mpaka washuhudie kuwa hakuna mola anayestahiki kuabudiwa kwa haki ispokuwa Allâh, na kwamba Muhammad ni Mtume wa Allâh, wasimamishe Swala na watoe Zaka. Watakapofanya hivyo, watahifadhika kutokana nami damu zao na mali yao ispokuwa kwa haki ya Uislamu, na hisabu yao iko kwa Allâh.”        [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ].


Begin typing your search above and press return to search.