0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1075. Riyadhu Swalihina Mlango wa maamrisho ya kuzihifadhi Swala za faradhi, na makatazo ya mkazo na maonyo makali ya kuziacha


 باب الأمر بالمحافظة عَلَى الصلوات المكتوبات والنهي الأكيد والوعيد الشديد في تركهنَّ


وعن ابنِ عمرَ رضيَ اللَّه عنهما قَالَ: قالَ رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “بُنِيَ الإِسَلامُ عَلَى خَمْسٍ: شَهادَةِ أَنْ لا إِلهَ إِلاَّ اللَّه، وأَنَّ مُحمداً رسولُ اللَّهِ، وإِقامِ الصَّلاةِ، وَإِيتاءِ الزَّكاةِ، وَحَجِّ البَيْتِ، وَصَوْمِ رَمضانَ ”      متفقٌ عَلَيهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



193. MLANGO WA MAAMRISHO YA KUZIHIFADHI SWALA ZA FARADHI, NA MAKATAZO YA MKAZO NA MAONYO MAKALI YA KUZIACHA


Imepokewa kutika kwa ‘Abdullâh bin ‘Umar ( Radhi za Allah ziwe juu yao ) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Uislamu umejengwa juu ya nguzo tano: Kushuhudia kuwa hakuna anayestahiki kuabudiwa kwa haki ispokuwa Allâh, na kwamba Muhammad ni Mtume wa Allâh, kusimamisha Swala, kutoa Zaka, kuhiji Alkaaba na kufunga Ramadhani.”       [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ].


Begin typing your search above and press return to search.