0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1074. Riyadhu Swalihina Mlango wa maamrisho ya kuzihifadhi Swala za faradhi, na makatazo ya mkazo na maonyo makali ya kuziacha


 باب الأمر بالمحافظة عَلَى الصلوات المكتوبات والنهي الأكيد والوعيد الشديد في تركهنَّ


وعن ابنِ مسعودٍ رضي اللَّه عنهُ قالَ: سَأَلتُ رسولَ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: أَيُّ الأَعْمَالِ أَفْضَلُ؟ قَالَ:”الصَّلاةُ عَلَى وَقْتِها”قلتُ: ثُمَّ أَيٌّ؟ قَالَ:“بِرُّ الوَالِدَيْنِ”قلَتُ: ثُمَّ أَيٌّ؟ قَالَ:“الجهادُ في سَبِيلِ اللَّهِ ”      متفقٌ عليه


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



193. MLANGO WA MAAMRISHO YA KUZIHIFADHI SWALA ZA FARADHI, NA MAKATAZO YA MKAZO NA MAONYO MAKALI YA KUZIACHA


Imepokewa kutika kwa ‘Abdullâh bin Mas‘ûd ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesema: “Nilimwuliza Mtume ﷺ: “Ni amali gani iliyo bora zaidi?” Akajibu: “Ni kuswali kwa wakati wake.” Nikamwuliza tena: “Kisha ni amali gani?” Akajibu: “Ni kuwafanyia hisani wazazi.” Nikamwuliza tena: “Kisha ni amali gani?” Akajibu: “Ni kupigana Jihadi katika njia ya Allâh.”        [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ].


Begin typing your search above and press return to search.