August 24, 2025
0 Comments
باب الحثِّ عَلَى حضور الجماعة في الصبح والعشاء
وعن أَبي هُريرة رضيَ اللَّه وعنهُ قَالَ: قال رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “لَيْسَ صَلاةٌ أَثْقَلَ عَلَى المُنَافِقينَ مِنْ صَلاَةِ الفَجْرِ وَالعِشاءِ وَلَوْ يَعْلَمُونَ مَا فِيهما لأَتَوْهُما وَلَوْ حبْوًا” متفقٌ عَلَيهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
192. MLANGO WA MAHIMIZO YA KUHUDHURIA SWALA YA JAMAA ASUBUHI NA ISHA
Imepokewa kutoka kwa ‘ Abû Huraira ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Hakuna Swala nzito zaidi kwa wanafiki kuliko Swala ya Alfajiri na Swala ya ‘Isha. Na lau wangelijua yaliyomo ndani yake (ya thawabu na fadhila), wangelihudhuria hata kwa kutambaa.” [ Wameafikina Bukhari na Muuslim. ]