August 24, 2025
0 Comments
باب الحثِّ عَلَى حضور الجماعة في الصبح والعشاء
وعن أَبي هُريرة رضيَ اللَّه عنهُ أَنَّ رسولَ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: ” وَلَوْ يعْلَمُونَ مَا في العَتمَةِ والصُّبْحِ لأَتَوْهُما وَلَو حبْوًا” متفقٌ عَلَيْهِ. وقد سبق بطوِلهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
192. MLANGO WA MAHIMIZO YA KUHUDHURIA SWALA YA JAMAA ASUBUHI NA ISHA
Imepokewa kutoka kwa ‘ Abû Huraira ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Na lau wanajua thawabu ziliomo katika Swala ya Isha na Asubuhi, basi wangaliziendea hata kama ni kwa kusota.” [ Wameafikina Bukhari na Muuslim. ]