0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1070. Riyadhu Swalihina Mlango wa fadhila ya Swala ya jamaa


١٩١- باب فضل صلاة الجماعة


وعن أَبي الدرداءِ رضي اللَّه عنه قالَ: سَمِعتُ رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يقول: “مَا مِن ثَلاثَةٍ فِي قَرْيَةٍ وَلاَ بَدْوٍ لا تُقَامُ فِيهمُ الصَّلاةُ إِلاَّ قدِ اسْتَحْوَذَ عَلَيْهِمُ الشَّيْطَانُ. فَعَلَيكُمْ بِالجَمَاعَةِ، فَإِنَّمَا يأْكُلُ الذِّئْبُ مِنَ الغَنمِ القَاصِيَةَ”            رواه أبو داود بإِسناد حسن


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



191. MLANGO WA FADHILA YA SWALA YA JAMAA


Imepokewa kutoka kwa Abuddardâ ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesema: “Nimemsikia Mtume ﷺ  akisema: “Hakuna mahala penye watu watatu kitongojini au jangwani ambapo hakusimamishwi Swala miongoni mwao, ispokuwa shetani huwaghilibu. Basi shikamaneni na jamaa, hakika mbwamwitu humla mbuzi aliye mbali (aliye peke yake).”     [ Imepokewa na Abû Dâwûd, isnadi yake ni Jayyid ]


Begin typing your search above and press return to search.