0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

107. MLANGO WA MAAMRISHO YA MTU KULA KANDO YA SINIA, NA MAKATAZO YA KULA KATIKATI YAKE

باب الأمر بالأكل من جانب القصعة والنهي عن الأكل من وسطها


فِيهِ: قَوْله – صلى الله عليه وسلم -: { وَكُلْ مِمَّا يَلِيكَ} متفق عَلَيْهِ كما سبق

وعن ابن عباس – رضي الله عنهما -، عن النبيِّ – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: { البَرَكَةُ تَنْزِلُ وَسَطَ الطعَامِ؛ فَكُلُوا مِنْ حَافَتَيْهِ، وَلاَ تَأكُلُوا مِنْ وَسَطِهِ}          رواه أَبُو داود والترمذي، وقال: {حديث حسن صحيح}


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



107. MLANGO WA MAAMRISHO YA MTU KULA KANDO YA SINIA, NA MAKATAZO YA KULA KATIKATI YAKE


Imepokewa na ‘Abdullâh bin ‘Abbâs (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume ﷺ amesema: “Baraka huteremka katikati ya chakula, kwa hivyo kuleni kandokando yake wala msile katikati yake.”   [ Imepokewa na Abû Dâwûd na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan Sahîh.]


Begin typing your search above and press return to search.