0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1067. Riyadhu Swalihina Mlango wa fadhila ya Swala ya jamaa


١٩١- باب فضل صلاة الجماعة


وعن عبدِ اللَّهِ وَقِيلَ: عَمْرِو بْنِ قيْسٍ المعرُوف بابنِ أُمِّ مَكْتُوم المُؤَذِّنِ رضيَ اللَّه عنهُ أَنَّهُ قَالَ: يا رسولَ اللَّه إِنَّ المَدِينَةَ كَثيرَةُ الهَوَامِّ وَالسِّبَاعِ. فَقَالَ رسولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “تَسْمَعُ حَيَّ عَلى الصَّلاةِ، حَيًّ عَلى الفَلاحِ، فَحَيَّهَلاً

رَوَاهُ أبُو دَاوُدَ بإسناد حسن. ومعنى: “حَيَّهَلاً”: تعال


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



191. MLANGO WA FADHILA YA SWALA YA JAMAA


Imepokewa kutoka kwa ‘Abdullâh – na anaitwa ‘Amru bin Qais, maarufu anajulikana kwa jina Ibnu Ummi Maktûm ambaye ni Mwadhini ( Radhi za Allah ziwe juu yake ), siku moja alisema: “Yâ Rasûlallâh, hakika Madina muna wadudu wengi (wabaya) na wanyama-mwitu.” Mtume ﷺ akamwambia: “Ikiwa wasikia Hayya ‘alassalâh, Hayya ‘alalfalâh, njoo (Msikitini).”  [ Imepokewa na Abû Dâwûd, isndani yake ni Hasan.]


Begin typing your search above and press return to search.