0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1063. Riyadhu Swalihina Mlango wa fadhila ya kutembea hadi Msikitina


١٩٠- باب فضل انتظار الصلاة


وعن أَنس رضيَ اللَّه عنهُ أَنَّ رسولَ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم أَخَّرَ لَيْلَةً صلاةَ الْعِشَاءِ إِلى شَطْرِ اللَّيْلِ ثُمَّ أَقْبَلَ عَلَيْنَا بوَجْهِهِ بَعْدَ ما صَلَّى فَقَالَ: “صَلىََّ النَّاسُ وَرَقَدُوا ولَمْ تَزَالُوا في صَلاةٍ مُنْذُ انْتَظَرْتُموها”     رواه البُخَارِيُّ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



190. MLANGO WA FADHILA ZA KUNGOJA SWALA


Imepokewa kutoka kwa Anas ( Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Katika usiku fulani, Mtume    aliakhirisha Swala ya Isha hadi katikati ya usiku, kisha akatuelekea kwa uso wake baada ya kutuswalisha, akatwambia: “Watu wameswali na wamelala, nanyi mmeendelea kuwa katika Swala tangu mulipoisubiri.”   [ Imepokewa na Bukhârî. ]


Begin typing your search above and press return to search.