August 18, 2025
0 Comments
١٩٠- باب فضل انتظار الصلاة
عنْ أَبي هريرةَ رضيَ اللَّه وعنه أَنَّ رسولَ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “المَلائِكَةُ تُصَلِّي عَلَى أَحَدِكُمْ مَا دَامَ فِي مُصَلاَّهُ الَّذي صَلَّى فِيهِ مَا لمْ يُحْدِثْ، تَقُولُ: اللَّهُمَّ اغْفِرْ لَهُ، اللَّهُمَّ ارْحَمْهُ” رواه البخاري
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
190. MLANGO WA FADHILA ZA KUNGOJA SWALA
Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira ( Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Malaika humwombea maghfira na rehema mmoja wenu madamu ameketi mahala pake aliposwalia, madamu hajatangukwa na udhu, humwombea (wakisema): “Allâhummaghfir lahû, Allâhummarhamhu [Ewe Mola Msamehe, Ewe Mola Mrehemu].” [ Imepokewa na Bukhârî. ]