0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1057. Riyadhu Swalihina Mlango wa fadhila ya kutembea hadi Msikitina


١٨٩- باب فضل المشي إلى المساجد


وعنْ أَبي موسى رضيَ اللَّه عنه قالَ: قالَ رسولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “إِنَّ أَعْظَم النَّاسِ أَجرًا في الصَّلاةِ أَبْعَدُهُمْ إِليْها ممْشًى فَأَبْعَدُهُمْ. والَّذي يَنْتَظرُ الصَّلاةَ حتَّى يُصلِّيها مَعَ الإِمامِ أَعْظَمُ أَجراً مِنَ الَّذِي يُصلِّي ثُمَّ يَنَامُ”     متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



189. MLANGO WA FADHILA YA KUTEMBEA HADI MSIKITINI


Imepokewa kutoka kwa Abû Mûsâ ( Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Mtu mwenye ujira mkubwa katika Swala ni yule anaetembea mwendo mrefu kuiyendea Swala hiyo, kisha ni yule aliye mbali zaidi. Na yule anaengojea Swala ili aiswali pamoja na imamu, ana ujira mkubwa zaidi kuliko anayeswali kisha analala.”    [ Wameafikina Bukhari na Muslim. ]


Begin typing your search above and press return to search.