0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1056. Riyadhu Swalihina Mlango wa fadhila ya kutembea hadi Msikitina


١٨٩- باب فضل المشي إلى المساجد


وعن جابرٍ رضيَ اللَّه عنهُ قَالَ: خَلَتِ البِقَاعُ حَوْلَ المسْجِد، فَأَرادَ بَنُو سَلِمَةً أَنْ يْنتقلُوا قُرْبَ المَسْجِد، فَبَلَغَ ذلكَ النبيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم فقالَ لَهُمْ: “بَلَغَني أَنَّكُمْ تُريدُونَ أَن تَنْتَقِلُوا قُرْبَ المَسْجِد؟ قالوا: نعم يَا رَسولَ اللَّهِ قَدْ أَرَدنَا ذَلكَ، فقالَ:“يا بَنِي سَلمَةَ ديارَكُمْ تُكْتَبْ آثارُكُمْ، ديارَكُمْ تُكْتَبْ آثارُكُمْ” فقالوا: مَا يَسُرُّنَا أَنَّا كُنَّا تَحَولْنَا:

رواه مسلم، وروى البخاري معناه من رواية أنَس


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



189. MLANGO WA FADHILA YA KUTEMBEA HADI MSIKITINI


Imepokewa kutoka kwa Jâbir ( Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Viwanja vilikuwa vitupu kando ya Msikiti, watu wa kabila la Banû Salamah wakataka kuhamia karibu ya Msikiti. Habari hiyo ikamfikia Mtume ﷺ. Akawauliza: “Nimesikia kuwa mnataka kuhamia karibu ya Msikiti?” Wakamjibu: “Ndio Yâ Rasûlallâh, tumetaka kufanya hivyo.” Akawaambia: “Enyi Banû Salamah, kaeni kuko huko majumbani mwenu (msihame), hatua zenu zinaandikwa, kaeni kuko huko hatua zenu zinaandikwa.” Wakasema: “Basi hatukupendezewa tena kuhamia.”     [ Imepokewa na Muslim. ]


Begin typing your search above and press return to search.