0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1054. Riyadhu Swalihina Mlango wa fadhila ya kutembea hadi Msikitina


١٨٩- باب فضل المشي إلى المساجد


عن أَبي هريرةَ رضيَ اللَّه وعنهُ أَنَّ النَّبِيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قالَ: “مَنْ تَطَهَّرَ في بَيْتِهِ، ثُمَّ مَضى إِلى بيْتٍ مِنْ بُيُوتِ اللَّهِ، لِيَقْضِيَ فَرِيضَةً مِنْ فَرائِضِ اللَّهِ، كانَتْ خُطُواتُهُ، إِحْدَاها تَحُطُّ خَطِيئَةً، والأُخْرى تَرْفَعُ دَرَجَةً”    رواه مسلم.


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



189. MLANGO WA FADHILA YA KUTEMBEA HADI MSIKITINI


Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira ( Radhi za Allah ziwe juu yake)  amesema: “Mtume   amesema: “Atakayetawadha nyumbani mwake, kisha akaenda katika Nyumba miongoni mwa Nyumba za Allâh ili aswali faradhi miongoni mwa faradhi Alizofaradhisha Allâh, basi hatua zake zitakuwa moja humfutia dhambi na nyingine humpandisha daraja.”    [ Imepokewa na Muslim. ]


Begin typing your search above and press return to search.