August 4, 2025
0 Comments
١٨٨- باب فضل صلاة الصبح والعصر
وعن بُريْدَةَ رضيَ اللَّه عنهُ قَالَ: قالَ رسولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “مَنْ تَرَكَ صَلاةَ العصْر فَقَدْ حَبِطَ عَملُهُ” رواه البخاري
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
188. MLANGO: FADHILA YA SWALA YA ASUBUHI NA ALASIRI
Imepokewa kutoka kwa Buraidah ( Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Atakayewacha Swala ya alasiri, amali yake imeshapomoka.” [ Imepokewa na Bukhârî. ]