0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1051. Riyadhu Swalihina Mlango wa Fadhila ya Swala ya Asubuhi na Alasiri


١٨٨- باب فضل صلاة الصبح والعصر


وعن جَريرِ بنِ عبدِ اللَّهِ البجليِّ رضيَ اللَّه عنهُ قَالَ: كُنَّا عِندَ النبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم، فَنَظَرَ إِلى القَمرِلَيْلَةَ البَدْرِ، فَقَالَ: “إنَّكُمْ سَتَرَوْنَ ربكمْ كَمَا تَروْنَ هَذَا القَمر، لاَ تُضَامُّونَ في رُؤْيَتِهِ، فَإِنِ اسْتَطَعْتُمْ أَنْ لاَ تُغْلبُوا عَلى صلاةٍ قَبْل طُلُوعِ الشَّمْسِ، وَقَبْل غُرُوبها فافْعلُوا”      متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



188. MLANGO: FADHILA YA SWALA YA ASUBUHI NA ALASIRI


Imepokewa kutoka kwa Jarîr bin ‘Abdullâh al-Bajaly ( Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Tulikuwa na Mtume ﷺ, akautazama mwezi usiku wa arbatashara, akatwambia: “Hakika mtamuona Mola wenu kama mnavyouona mwezi huu, hamtapata shida katika kumuona. Mkiweza kutoghilibiwa na Swala kabla ya jua kuchomoza na kabla ya kuzama kwake, fanyeni.”   [ Wameafikiana ukhari na Muslim ] 

Riwaya nyingine imesema: “…akautazama mwezi usiku wa arbatashara.”


Begin typing your search above and press return to search.