June 25, 2021        
        
            
            0 Comments        
    
BUSTANI YA WATU WEMA

عن ابن مسعودٍ رضيَ اللَّهُ عنه قال: قال النبيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: «الجنة أقَربُ إلى أَحدِكُم مِنْ شِراكِ نَعْلِهِ والنَّارُ مِثْلُ ذلِكَ» رواه البخاري
Kutoka kwa‘Abdullaa bin Mas’uwd Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Amesema Mtume ﷺ: [Pepo ipo karibu zaidi kwa mmoja wenu kulikoni mkanda wa kiatu chake, na Moto ni hivyo hivyo.] [Imepokewa na Bukhari]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله
 
    