August 4, 2025
0 Comments
١٨٨- باب فضل صلاة الصبح والعصر
وعن زهيْرٍ بن عِمارَةَ بن رُؤيْبةَ رضيَ اللَّه عنْهُ قالَ: سمِعْتُ رَسُولَ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يقولُ: “لَنْ يلجَ النَّار أَحدٌ صلَّى قبْلَ طُلوعِ الشَّمْس وَقَبْل غُرُوبَها” يعْني الفجْرَ، والعصْرَ. رواه مسلم
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
188. MLANGO: FADHILA YA SWALA YA ASUBUHI NA ALASIRI
Imepokewa kutoka kwa Jundub bin Sufyân ( Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Anayeswali Swala ya asubuhi, mtu huyo yuko katika dhamana ya Allâh, basi tazama ee mwanadamu, usiivunje dhamana ya Allâh (kwa kumfanyia makruhu huyu alieswali).” [ Imepokewa na Muslim. ]