0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

 1048. Riyadhu Swalihina Mlango wa Fadhila ya Swala ya Asubuhi na Alasiri


١٨٨- باب فضل صلاة الصبح والعصر


وعن زهيْرٍ بن عِمارَةَ بن رُؤيْبةَ رضيَ اللَّه عنْهُ قالَ: سمِعْتُ رَسُولَ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يقولُ: “لَنْ يلجَ النَّار أَحدٌ صلَّى قبْلَ طُلوعِ الشَّمْس وَقَبْل غُرُوبَها” يعْني الفجْرَ، والعصْرَ.       رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



188. MLANGO: FADHILA YA SWALA YA ASUBUHI NA ALASIRI


Imepokewa kutoka kwa Abû Zuhair, ‘Umârah bin Ruaibah ( Radhi za Allah ziwe juu yake)  amesimulia: “Nimemsikia Mtume ﷺ akisema: “Hataingia motoni yeyote atakayeswali kabla ya jua kuchomoza na kabla ya kuzama kwake.” Yaani: alfajiri na alasiri.     [ Imepokewa na Muslim. ]


Begin typing your search above and press return to search.