0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1046. Riyadhu Swalihina Mlango wa Fadhila ya Adhana (Kuadhini)


١٨٧- باب فضل الصلوات


وعن عثمانَ بنِ عفان رضي اللَّه عنهُ قالَ: سمِعْتُ رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يقولُ: “ما مِن امْرِيءٍ مُسْلِمٍ تحضُرُهُ صلاةٌ مَكتُوبةٌ فَيُحْسِنُ وُضُوءَهَا، وَخُشوعَهَا، وَرُكُوعَها، إِلاَّ كَانَتْ كَفَّارةً لِمَا قَبْلَهَا مِنْ الذنُوبِ مَا لَمْ تُؤْتَ كَبِيرةٌ، وَذلكَ الدَّهْرَ كلَّهُ”      رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



187. MLANGO WA FADHILA ZA SWALA


Imepokewa kutoka kwa ‘Uthmân bin ‘Affân ( Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Nilimsikia Mtume ﷺ akisema: “Mtu yeyote Muislamu anayefikiwa na Swala ya faradhi, akatawadha vizuri, akakamilishia khushui zake na rukuu zake, hakika itakuwa ni kafara ya dhambi alizotenda kabla ya Swala hiyo maadamu hajatenda dhambi kubwa, hali hiyo ni mwaka mzima.”        [ Imepokelewa na Muslim ].


Begin typing your search above and press return to search.