August 3, 2025
0 Comments
١٨٧- باب فضل الصلوات
وعن أَبي هُريرة رضي اللَّه عنهُ أَنَّ رَسُولِ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “الصَّلواتُ الخَمْسُ، والجُمُعةُ إِلى الجُمُعَةِ، كفَّارةٌ لِمَا بَيْنهُنَّ، مَا لَمْ تُغش الكبَائِرُ” رواه مسلم
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
187. MLANGO WA FADHILA ZA SWALA
Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira ( Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume ﷺ amesema: “Swala tano na Ijumaa mpaka Ijumaa ni yenye kufuta yalio baina yake madamu hayajatendwa madhambi makubwa.” [ Imepokelewa na Muslim ].