0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1043. Riyadhu Swalihina Mlango wa Fadhila ya Adhana (Kuadhini)


١٨٧- باب فضل الصلوات


وعنْ جَابِرٍ رَضيَ اللَّه عنهُ قَالَ: قَالَ رسُولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “مثَلُ الصَّلواتِ الخَمْسِ كمثَلِ نهْرٍ جارٍ غمْرٍ عَلى بَابِ أَحَدِكُم يغْتَسِلُ مِنْهُ كُلَّ يَوْمٍ خمْسَ مرَّاتٍ”    رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



187. MLANGO WA FADHILA ZA SWALA


Imepokewa kutoka kwa Jâbir ( Radhi za Allah ziwe juu yake)  amesema: “Mtume ﷺ  amesema: “Mfano wa Swala tano ni kama mto wenye maji mingi unaopita mbele ya mlango wa mmoja wenu akawa anaoga humo kila siku mara tano.”  [ Imepokelewa na Muslim ]


Begin typing your search above and press return to search.