July 29, 2025
0 Comments
١٨٦- باب فضل الأذان
وعنْ أَنَسٍ رضيَ اللَّه عنْهُ قَالَ: قَال رسُولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “الدُّعَاءُ لاَ يُردُّ بَيْنَ الأَذانِ والإِقامةِ” رواه أَبُو داود والترمذي وقال: حديث حسن
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
186 – MLANGO: FADHILA YA ADHANA (KUADHINI)
Imepokewa kutoka kwa Anas ( Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Dua hairudishwi baina ya adhana na iqama.” [ Abû Dâwûd na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan.]