باب الأكل مِمَّا يليه ووعظه وتأديبه من يسيء أكله
عن عمر بن أَبي سَلمَة – رضي الله عنهما -، قَالَ: كُنْتُ غُلاماً في حِجْرِ رسولِ الله – صلى الله عليه وسلم -، وَكَانَتْ يَدِي تَطِيشُ في الصَّحْفَةِ، فَقَالَ لي رسولُ الله – صلى الله عليه وسلم -: { يَا غُلامُ، سَمِّ اللهَ تَعَالَى، وَكُلْ بِيَمينِكَ، وَكُلْ مِمَّا يَلِيكَ} متفقٌ عَلَيْهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa na ‘Umar bin Abî Salamah (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulima: “Nilikuwa kijana mdogo chini ya malezi ya Mtume (ﷺ) , na mkono wangu ulikuwa ukizunguka-zunguka katika sinia (ya chakula). Mtume (ﷺ) akaniambia: “Ee kijana, taja Jina la Allâh, ule kwa mkono wako wa kulia na ule kilicho mbele yako.” [ Wameafikiana Bukhari na Muslim]