July 29, 2025
0 Comments
١٨٦- باب فضل الأذان
وعن أَبي سعيدٍ الخُدْرِيِّ رضيَ اللَّه عنْهُ أَنَّ رسُول اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “إِذا سمِعْتُمُ النِّداءَ، فَقُولُوا كَما يقُولُ المُؤذِّنُ”. متفق عليه
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
186 – MLANGO: FADHILA YA ADHANA (KUADHINI)
Imepokewa kutoka kwa ‘Abû Sa‘îd al-Khudry ( Radhi za Allah ziwe juu yao ) amesimulia: “Mtume ﷺ amesema: “Mnaposikia adhana, semeni kama anavyosema mwadhini.” [ Wameafikiana Bukhari na Muslim. ]