0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1037. Riyadhu Swalihina Mlango wa Fadhila ya Adhana (Kuadhini)


١٨٦- باب فضل الأذان


وَعَنْ عبْدِ اللَّهِ بْنِ عَمرِو بْنِ العاصِ رضِيَ اللَّه عنْهُما أَنه سَمِع رسُولَ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يقُولُ: “إِذا سمِعْتُمُ النِّداءَ فَقُولُوا مِثْلَ مَا يَقُولُ، ثُمَّ صَلُّوا علَيَّ، فَإِنَّهُ مَنْ صَلَّى علَيَّ صَلاةً صَلَّى اللَّه عَلَيْهِ بِهَا عشْراً، ثُمَّ سلُوا اللَّه لِيَ الْوسِيلَةَ، فَإِنَّهَا مَنزِلَةٌ في الجنَّةِ لاَ تَنْبَغِي إِلاَّ لعَبْدٍ منْ عِباد اللَّه وَأَرْجُو أَنْ أَكُونَ أَنَا هُو، فَمنْ سَأَل ليَ الْوسِيلَة حَلَّتْ لَهُ الشَّفاعَةُ”            رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



186 – MLANGO: FADHILA YA ADHANA (KUADHINI)


Imepokewa kutoka kwa ‘Abdullâh bin ‘Amri bin al-‘Âs ( Radhi za Allah ziwe juu yao ) amemsikia Mtume akisema: “Mnapousikia mwadhini, semeni kama anavyosema (mwadhini), kisha muniswalie, hakika atakayeniswalia mara moja, Allâh Atamswalia mara kumi kwa kuniswalia huko. Kisha muniombee Wasila kwa Allâh, hakika hiyo Wasila ni Cheo (Kikuu) Peponi, cheo hicho hakifai kwa yeyote ila kwa mja miongoni mwa waja wa Allâh, nami natarajia kuwa ndiye mwenye cheo hicho. Atakayeniombea Wasila, atawajibika kupata Shafaa (yangu).”      [ Imepokewa na Muslim. ]


Begin typing your search above and press return to search.