0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1036. Riyadhu Swalihina Mlango wa Fadhila ya Adhana (Kuadhini)


١٨٦- باب فضل الأذان


وعَنْ أَبي هُريْرَةَ رضي اللَّه عنْهُ قَال: قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “إِذا نُودِي بالصَّلاةِ، أَدْبرَ الشيْطَانُ ولهُ ضُرَاطٌ حتَّى لاَ يسْمع التَّأْذِينَ، فَإِذا قُضِيَ النِّداءُ أَقْبَل، حتَّى إِذا ثُوِّبَ للصَّلاةِ أَدْبَر، حَتَّى إِذا قُضِيَ التَّثْويِبُ أَقْبلَ، حَتَّى يخْطِر بَيْنَ المرْءِ ونَفْسِهِ يقُولُ: اذْكُرْ كَذا، واذكُرْ كذا لمَا لَمْ يكن يذْكُرْ منْ قَبْلُ حَتَّى يظَلَّ الرَّجُلُ مَا يدرَي كَمْ صلَّى”    متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



186 – MLANGO: FADHILA YA ADHANA (KUADHINI)


Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Kunapoadhiniwa kwa ajili ya Swala, shetani hukimbia na huku akijamba ili asiusikie mwadhini. Kunapomalizika kuadhiniwa, hurudi, kunapokimiwa Swala, hukimbia, kunapomalizika kukimiwa, hurudi ili atie wasiwasi baina ya mtu na nafsi yake, humwambia: “Kumbuka jambo kadha, kumbuka jambo kadha” akimkumbusha mambo ambayo hakuwa ameyakumbuka hapo mbeleni, mpaka mtu yule asijue ameswali rakaa ngapi.”     [ Wameafikiana bukhari na Muslim. ]


Begin typing your search above and press return to search.