July 24, 2025
0 Comments
١٨٦- باب فضل الأذان
وعنْ مُعاوِيةَ رضي اللَّه عنْهُ قَال: سمِعْتُ رسُولَ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يَقُولُ: “المُؤذِّنُونَ أَطْولُ النَّاسِ أعْنَاقاً يوْمَ القِيامةِ” رواه مسلم
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
186. MLANGO WA FADHILA YA ADHANA (KUADHINI)
Imepokewa kutoka kwa Mu‘âwiya ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesimulia: “Nimemsikia Mtume ﷺ akisema: “Wenye kuadhini watakuwa ni wenye shingo ndefu zaidi Siku ya Qiyama.” [ Imepokewa na Muslim ]