١٨٥- باب فضل الوضوء
وعن أبي هريرةَ رضي اللَّه عنْهُ وعنْهُ أَنَّ رسُولَ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “أَلا أَدُلُّكُمْ عَلَى مَا يَمْحُو اللَّه بِهِ الخَطَايا، ويرْفَعُ بِهِ الدَّرجاتِ؟ “ قَالُوا: بَلَى يَا رَسُول اللَّهِ، قَالَ: “إِسْباغُ الوُضُوءِ عَلَى المكَارِهِ وكَثْرَةُ الخُطَا إِلَى المساجِدِ، وانْتِظَارُ الصَّلاةِ الصَّلاةِ، فَذلِكُمُ الرِّبَاطُ، فذلِكُمُ الرِّباطُ ” رواه مسلم
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
185. MLANGO WA FADHILA ZA UDHU
Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) Mtume ﷺ amesema:” “Je, niwajulishe jambo ambalo, Allâh Hufuta dhambi kwa sababu yake na Hupandisha daraja kwa sababu yake?” Wakasema: “Tujulishe Yâ Rasûlallâh.” Akawaambia: “Kutawadha vizuri wakati wa kuona karaha, kwenda hatua nyingi hadi Msikitini na kuingojea Swala baada ya Swala. Basi (kufanya hayo) ndio kujifunga katika njia ya Allâh.” [ Imepokewa na Muslim. ]