باب مَا يقوله من دُعي إِلَى طعام فتبعه غيره
عن أَبي مسعود البَدْريِّ – رضي الله عنه -، قَالَ: دعا رَجُلٌ النَّبِيَّ – صلى الله عليه وسلم – لِطَعَامٍ صَنعَهُ لَهُ خَامِسَ خَمْسَةٍ، فَتَبِعَهُمْ رَجُلٌ، فَلَمَّا بَلَغَ البَابَ، قَالَ النَّبيّ – صلى الله عليه وسلم -: { إنَّ هَذَا تَبِعَنَا، فَإنْ شِئْتَ أنْ تَأْذَنَ لَهُ، وَإنْ شِئْتَ رَجَعَ} قَالَ: بل آذَنُ لَهُ يَا رَسُولَ الله. متفقٌ عَلَيْهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa na Abû Mas‘ûd al-Badry (Radhi za Allah ziwe juu yake) amehadithia: “Mtu mmoja alimwalika Mtume (ﷺ) chakula alichomwandalia cha watu watano. Naye akaandamwa na mtu (ambaye hakualikwa), alipofika mlangoni, Mtume (ﷺ) alimwambia mwenye nyumba: “Huyu ametufuata, ukitaka unaweza ukamruhusu na ukipenda atarejea.” Akasema: “Bali nitamruhusu Yâ Rasûlallâh.” [ Wameafikiana Bukhari na Muslim]