Hisnul Muslim By uongofu June 20, 2021 0 Comments KINGA YA MUISLAMU Imepokelewa kutoka kwa Jaabir amesema: “Tulikuwa tukipanda mlima tunasema: [اللهُ أَكْـبَر] [Mwenyezi Mungu ni Mkubwa] Na tukishuka tunasema: [سُبْـحانَ الله] Ametakasika Mwenyezi Mungu [imepokewa na Bukhari] SIKILIZA DUA HII Share this… Facebook Whatsapp Twitter Linkedin Pinterest