July 23, 2025
0 Comments
١٨٥- باب فضل الوضوء
وعن عثمانَ بن عفانَ رضي اللَّه عنهُ قَالَ: رَأَيْتُ رسُولَ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم َتَوَضَّأُ مثلَ وُضوئي هَذَا ثُمَّ قَالَ: “مَنْ تَوَضَّأَ هكَذَا غُفِرَ لَهُ مَا تَقَدَّمَ مِنْ ذَنبِهِ، وَكَانَتْ صَلاتُهُ وَمَشْيُهُ إِلى المَسْجِدِ نَافِلَةً” رواه مسلم.
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
185. MLANGO WA FADHILA ZA UDHU
Imepokewa kutoka kwa ‘Uthman bin ‘Affân ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesimulia: “Nilimuona Mtume ﷺ akitawadha mfano wa udhu wangu huu, kisha akasema: “Atakayetawadha kama hivi, atasamehewa dhambi zake zilizotangulia, kuswali kwake na kutembea kwake Msikitini kutakuwa ni ziada.” [ Imepokewa na Muslim.]