July 21, 2025
0 Comments
١٨٥- باب فضل الوضوء
وعن عثمانَ بن عفانَ رضي اللَّه عنه قَالَ: قَالَ رسولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “منْ تَوَضَّأَ فَأَحْسَنَ الوضوءَ، خَرَجَت خَطَايَاهُ مِنْ جسَدِهِ حتَّى تَخْرُجَ مِنْ تحتِ أَظفارِهِ” رواه مسلم
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
185. MLANGO WA FADHILA ZA UDHU
Imepokewa kutoka kwa ‘Uthmân bin ‘Affân ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Atakayetawadha kwa uzuri, dhambi zake zitatoka mwilini mwake hata zitoke chini ya kucha zake.” [ Imepokewa na Muslim ]