0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1025. Riyadhu Swalihina Mlango wa Fadhila za Udhu.


١٨٥- باب فضل الوضوء


وعَنْ أَبي هُريْرَةَ رضيَ اللَّه عَنْه قَالَ: سَمِعْت خَلِيلي صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يقُول: “تَبْلُغُ الحِلية مِنَ المؤمِن حَيْث يبْلُغُ الوضوءُ”     رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



185. MLANGO WA FADHILA ZA UDHU


Imepokewa kutoka kwa ‘Abû Huraira ( Radhi za Allah ziwe juu yake )  amesema : “Nilimsikia Sahibu yangu Mtume ﷺ akisema: “Pambo la Muumini (Siku ya Qiyama) litafikia pale panapofikia udhu.”   [ Imepokewa  na Muslim ]


Begin typing your search above and press return to search.