July 21, 2025
0 Comments
١٨٥- باب فضل الوضوء
وعَنْ أَبي هُريْرَةَ رضيَ اللَّه عَنْه قَالَ: سمِعْت رَسُولَ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يقُول: “إِنَّ أُمَّتي يُدْعَوْنَ يَوْمَ القِيامَةِ غُرّاً محَجَّلِينَ مِنْ آثَارِ الوضوءِ فَمنِ اسْتَطَاعَ مِنْكُمْ أَنْ يُطِيل غُرَّتَه، فَليفعلْ” متفقٌ عَلَيْهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
185. MLANGO WA FADHILA ZA UDHU
Imepokewa kutoka kwa ‘Abû Huraira ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesema : “Nimemsikia Mtume ﷺ akisema: “Hakika umma wangu utaitwa Siku ya Qiyama ilihali ni wenye nuru katika vipaji na miguu yao kutokana na athari ya udhu. Atakayeweza miongoni mwenu kurefusha (udhu katika) kipaji chake, basi afanye.” [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ]