0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1022. Riyadhu Swalihina Mlango wa Mahimizo ya kusoma sura na Aya makhsusi


١٨٣- باب الحثِّ عَلَى سور وآيات مخصوصة


وعَنِ ابْنِ عبَّاسٍ رضِي اللَّه عنْهُما قَالَ: بيْنَما جِبْرِيلُ عليهِ السَّلام قاعِدٌ عِندَ النَّبِيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم سَمِعَ نَقِيضًا مِنْ فَوْقِهِ، فَرَفَعَ رَأْسَه فَقَالَ: “هَذَا بَابٌ مِنَ السَّمَاءِ فُتِحَ اليَوْمَ ولَمْ يُفْتَح قَطُّ إِلاَّ اليَوْمَ” فَنَزَلَ مِنه مَلكٌ فقالَ:“هذا مَلَكٌ نَزَلَ إِلى الأَرْضِ لم يَنْزِلْ قَطُّ إِلاَّ اليَوْمَ فَسَلَّمَ وقال: أَبشِرْ بِنورَينِ أُوتِيتَهُمَا، لَمْ يُؤْتَهُمَا نَبِيٌّ قَبلَكَ: فَاتحةِ الكِتَابِ، وخَواتِيم سُورَةِ البَقَرةِ، لَن تَقرأَ بحرْفٍ مِنْهَا إِلاَّ أُعْطِيتَه”     رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



183. MLANGO WA MAHIMIZO YA KUSOMA SURA NA AYA MAKHSUSI


Imepokewa kutoka kwa ‘Abdullâh bin ‘Abbâs ( Radhi za Allah ziwe juu yao )  amesimulia: “Jibrîl (Alayhi salaam) alipokuwa ameketi mbele ya Mtume , alisikia sauti juu yake, akainuwa kichwa chake, akasema: “Huu ni mlango wa mbinguni umefunguliwa leo, wala haujawahi katu kufunguliwa ispokuwa leo.” Akateremka Malaika kutoka katika mlango huo. Akasema: “Huyu ni Malaika ameteremka ardhini, hajawahi katu kuteremka ila leo.” Akatoa salamu na akasema: “Pokea habari njema kwa nuru mbili ulizopewa, hakuna Nabii aliepewa nuru hizo kabla yako: Fâtihatul-Kitâb (Alhamdu) na mwisho wa Sûratul-Baqarah, hutasoma herufi katka (Aya hizo) ila utapewa.”    [ Imepokewa na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.