0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1021. Riyadhu Swalihina Mlango wa Mahimizo ya kusoma sura na Aya makhsusi


١٨٣- باب الحثِّ عَلَى سور وآيات مخصوصة


وعن أَبي الدَّرْدِاءِ رَضِي اللَّه عنْه أَنَّ رسُول اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “منْ حفِظَ عشْر آيَاتٍ مِنْ أَوَّلِ سُورةِ الْكَهْف، عُصمَ منَ الدَّجَّالِ”. وفي رواية: “مِنْ آخِرِ سُورةِ الكهْف”      رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



183. MLANGO WA MAHIMIZO YA KUSOMA SURA NA AYA MAKHSUSI


Imepokewa kutoka kwa Abuddardâ ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesimulia: “Mtume amesema: “Mwenye kuhifadhi Aya kumi za mwanzo wa Sûratulkahf, atahifadhiwa dhidi ya Dajjâl.” Riwaya nyingine imesema: “..mwisho wa Sûratulkahf.”    [ Imepokewa na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.