0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1019. Riyadhu Swalihina Mlango wa Mahimizo ya kusoma sura na Aya makhsusi


١٨٣- باب الحثِّ عَلَى سور وآيات مخصوصة


وعن أُبَيِّ بنِ كَعْبٍ رضي اللَّه عَنْهُ قَالَ: قَالَ رسولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: ” يَا أَبا المُنذِرِ أَتَدْرِي أَيُّ آيةٍ مِن كِتَابِ اللَّهِ معكَ أَعْظَمُ؟ “ قُلْتُ: اللَّه ورسوله أعلم. قال:“ياأبا المنذر، أتدريأي آية من كتاب الله أعْظَمُ؟ “قُلْتُ: {اللهُ لاَ إِلهَ إِلاَّ هُو الحَيُّ الْقَيُّومُ} [البقرة: ٢٥٥] ، فَضَربَ فِي صَدْري وَقَال: “لِيهْنكَ الْعِلْمُ أَبَا المُنذِرِ”    رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



183. MLANGO WA MAHIMIZO YA KUSOMA SURA NA AYA MAKHSUSI


Imepokewa kutoka kwa Ubayyi bin Ka’b ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesema: “Mtume ﷺ aliniuliza: “Ee Abâ Mundhir, unajua ni Aya gani katika Kitabu cha Allâh uliyoihifadhi ambayo ni kubwa?”  nikasema Mwenyezi Mungu na Mtme wake ndio wanajua zaidi “Mtume ﷺ Akasema : “Ee Abâ Mundhir, unajua ni Aya gani katika Kitabu cha Allâh uliyoihifadhi ambayo ni kubwa?” Nikamjibu: “Allâhu lâ ilâha illâ huwal-hayyulqayyûm,”akanipiga kifuani mwangu na akaniambia: “Ilimu iwe ndio furaha yako na manufaa kwako ee Abâ Mundhir!”   [ Imepokewa na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.