0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1018. Riyadhu Swalihina Mlango wa Mahimizo ya kusoma sura na Aya makhsusi


١٨٣- باب الحثِّ عَلَى سور وآيات مخصوصة


وعن أَبي هريرةَ رضيَ اللَّه عنهُ أَنَّ رسولَ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “لاَ تَجْعَلُوا بُيُوتَكُمْ مَقَابِر، إِنَّ الشَّيْطَانَ يَنْفِرُ مِن الْبيْتِ الَّذي تُقْرأُ فِيهِ سُورةُ الْبقَرةِ”      رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



183. MLANGO WA MAHIMIZO YA KUSOMA SURA NA AYA MAKHSUSI


Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesimulia: “Mtume ﷺ  amesema: “Msiyafanye majumba yenu (kama) makaburi, hakika shetani huikimbia nyumba inayosomwa ndani yake Sûratulbaqarah.”     [ Imepokewa na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.