July 17, 2025
0 Comments
١٨٣- باب الحثِّ عَلَى سور وآيات مخصوصة
وعن أَبي مسعودٍ البدْرِيِّ رضيَ اللَّه عنهُ عن النبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “منْ قَرَأَ بالآيتَيْنِ مِنْ آخِرِ سُورةِ البقَرةِ فِي لَيْلَةٍ كَفَتَاهُ” متفقٌ عَلَيْهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
183. MLANGO WA MAHIMIZO YA KUSOMA SURA NA AYA MAKHSUSI
Imepokewa kutoka kwa Abû Mas‘ûd al-Badry ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesimulia: “Mtume ﷺ amesema: “Atakayesoma Aya mbili za mwisho wa Sûratulbaqarah katika usiku, zitamtosha.” [ Wameafikiana bukhari na Muslim. ]