July 15, 2025
0 Comments
١٨٣- باب الحثِّ عَلَى سور وآيات مخصوصة
وعن أَبي سعيدٍ الخُدْرِيِّ رَضي اللَّه عنهُ قَالَ: كانَ رسولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يَتَعَوَّذُ مِنَ الجانِّ، وَعَيْنِ الإِنْسَانِ، حتَّى نَزَلَتِ المُعَوذَتان، فََلَمَّا نَزَلَتَا، أَخَذَ بِهِما وتَركَ مَا سِواهُما. رواه الترمذي وقال حديث حسن
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
183. MLANGO WA MAHIMIZO YA KUSOMA SURA NA AYA MAKHSUSI
Imepokewa kutoka kwa Abû Sa‘îd al-Khudry ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesimulia: “Mtume ﷺ alikuwa akijikinga (kwa Allâh) dhidi ya majini na jicho la binadamu mpaka zikateremka Mu‘awwidhatâni, zilipoteremka, alishikana nazo na akaacha zisizokuwa hizo.” [ Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan. ]