0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1014. Riyadhu Swalihina Mlango wa Mahimizo ya kusoma sura na Aya makhsusi


١٨٣- باب الحثِّ عَلَى سور وآيات مخصوصة


وعن عُقْبةَ بنِ عامِرٍ رَضِيَ اللَّه عنهُ أَنَّ رسولَ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “أَلَمْ تَر آيَاتٍ أُنْزِلَتْ هَذِهِ اللَّيْلَةَ لَمْ يُرَ مِثلُهُن قَطُّ؟ {قُلْ أَعُوذُ برَبِّ الفَلَقِ} [الفلق: ١] ، و {قُلْ أَعُوذُ بِرَبِّ النَّاسِ} [الناس: ١] ”      رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



183. MLANGO WA MAHIMIZO YA KUSOMA SURA NA AYA MAKHSUSI


Imepokewa kutoka kwa ‘Uqbah bin ‘Âmir ( Radhi za Allah ziwe juu yake )  amesimulia: “Mtume amesema: “Je, wajua kuwa kuna Aya zilizoteremshwa usiku huu hazijawahi kuonekana mfano wake katu? Qul a‘ûdhu birabbil-falaq na Qul a‘ûdhu birabbinnâs.”      [ Imepokewa na Muslim. ]


Begin typing your search above and press return to search.