0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1013. Riyadhu Swalihina Mlango wa Mahimizo ya kusoma sura na Aya makhsusi


١٨٣- باب الحثِّ عَلَى سور وآيات مخصوصة


وعنْ أَنسٍ رضي اللَّهُ عنهُ أَنَّ رجُلا قَالَ: يَا رَسُول اللَّهِ إِني أُحِبُّ هذِهِ السُّورَةَ: {قُلْ هُوَ اللَّه أَحدٌ} [الإخلاص: ١] ، قَالَ: “إِنَّ حُبَّها أَدْخَلَكَ الجنَّةَ ”      رواه الترمذي وقال: حديثٌ حسن. رواه البخاري في صَحِيحِهِ تعليقاً


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



183. MLANGO WA MAHIMIZO YA KUSOMA SURA NA AYA MAKHSUSI


Imepokewa kutoka kwa Anas ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesimulia: “Mtu mmoja alimwambia Mtume : “Yâ Rasûlallâh, mimi naipenda Sura hii: Qul huwallâhu Ahad.” Akamwambia: “Hakika kuipenda (kwako) Sura hiyo kumekuingiza Peponi.”    [ Iepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan.]


Begin typing your search above and press return to search.