0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1012. Riyadhu Swalihina Mlango wa Mahimizo ya kusoma sura na Aya makhsusi


١٨٣- باب الحثِّ عَلَى سور وآيات مخصوصة


وعن أَبي هريرة رضيَ اللَّه عنهُ أَنَّ رسولَ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ في: {قُلْ هُوَ اللَّه أَحَدٌ} : “إِنَّهَا تَعْدِلُ ثُلُثَ القُرْآنِ” رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



183. MLANGO WA MAHIMIZO YA KUSOMA SURA NA AYA MAKHSUSI


Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesimulia: “Mtume ﷺ amesema kuhusu Qul huwallâhu Ahad: “Sura hiyo inalingana na thuluthi ya Qur’âni.”    [ Imepokewa na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.