0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1011. Riyadhu Swalihina Mlango wa Mahimizo ya kusoma sura na Aya makhsusi


١٨٣- باب الحثِّ عَلَى سور وآيات مخصوصة


وعن أَبي سعيدٍ الخُدْرِيِّ رضيَ اللَّه عنه أنَّ رَجُلاً سمِع رَجُلاً يَقْرَأُ:” {قَلُ هُوَ اللَّه أَحدٌ} [الإخلاص: ١] يُردِّدُها فَلَمَّا أَصْبَحَ جاءَ إِلى   رسولِ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم، فَذَكَرَ ذلكَ لَهُ وكَانَ الرَّجُلُ يتَقَالهُّا فَقَالَ رسول الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “والَّذي نَفْسِي بِيَدِهِ، إِنَّها لَتَعْدِلُ ثُلُثَ الْقُرْآنِ “      رواه البخاري


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



183. MLANGO WA MAHIMIZO YA KUSOMA SURA NA AYA MAKHSUSI


Imepokewa kutoka kwa Abû Sa‘îd al-Khudry ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) alimsikia mtu akisoma Qulhuwallâhu Ahad,” huku anairudia-rudia. Kulipopambauka, alimwendea Mtume akamweleza habari hiyo, na yule mtu alikuwa akiona kuwa kuisoma Sura hiyo ni amali ndogo. Mtume   akasema: “Naapa kwa Ambaye nafsi yangu imo Mkononi Mwake, Sura hiyo inalingana na thuluthi ya Qur’âni.”     [ Imepokewa na Bukhârî.]


Begin typing your search above and press return to search.