November 27, 2023
0 Comments
باب لا يَعيبُ الطّعام واستحباب مَدحه
وعن أَبي هُريرة – رضي الله عنه -، قَالَ: مَا عَابَ رسولُ الله – صلى الله عليه وسلم – طَعَامَاً قَطُّ، إن اشْتَهَاهُ أكَلَهُ، وَإنْ كَرِهَهُ تَرَكَهُ. متفقٌ عَلَيْهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
101. MLANGO WA KUTOKITIA AIBU CHAKULA NA SUNNAH YA KUKISIFU
Imepokewa Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amehadithia: “Mtume (ﷺ) katu hakukiabisha chakula, akikitamani hukila na asipokipenda hukiacha.” [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ]